Mdo 21:31 SUV

31 Na walipokuwa wakitafuta njia ya kumwua, habari zikamfikilia jemadari wa kikosi ya kwamba Yerusalemu imechafuka, mji mzima.

Kusoma sura kamili Mdo 21

Mtazamo Mdo 21:31 katika mazingira