Mdo 21:37 SUV

37 Naye alipokuwa analetwa ndani ya ngome, Paulo akamwambia jemadari, Nina ruhusa nikuambie neno? Naye akasema, Je! Unajua Kiyunani?

Kusoma sura kamili Mdo 21

Mtazamo Mdo 21:37 katika mazingira