Mdo 22:14 SUV

14 Akasema, Mungu wa baba zetu amekuchagua wewe upate kujua mapenzi yake, na kumwona yule Mwenye haki, na kuisikia sauti itokayo katika kinywa chake.

Kusoma sura kamili Mdo 22

Mtazamo Mdo 22:14 katika mazingira