Mdo 22:25 SUV

25 Hata walipokwisha kumfunga kwa kamba, Paulo akamwambia yule akida aliyesimama karibu, Je! Ni halali ninyi kumpiga mtu aliye Mrumi naye hajakuhumiwa bado?

Kusoma sura kamili Mdo 22

Mtazamo Mdo 22:25 katika mazingira