Mdo 23:30 SUV

30 Hata nilipopewa habari kwamba patakuwa na vitimvi juu ya mtu huyu, mara nikampeleka kwako, nikawaagiza na wale waliomshitaki, wanene habari zake mbele yako. Wasalamu.

Kusoma sura kamili Mdo 23

Mtazamo Mdo 23:30 katika mazingira