Mdo 24:14 SUV

14 Ila neno hili naungama kwako ya kwamba kwa Njia ile ambayo waiita uzushi, ndivyo ninavyomwabudu Mungu wa baba zetu, nikiyaamini yote yanayopatana na torati na yaliyoandikwa katika vyuo vya manabii.

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:14 katika mazingira