Mdo 24:18 SUV

18 Wakaniona ndani ya hekalu nikishughulika na mambo haya, hali nimetakaswa, wala sikuwa na mkutano wala ghasia; lakini walikuwako baadhi ya Wayahudi waliotoka Asia,

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:18 katika mazingira