Mdo 24:21 SUV

21 isipokuwa kwa ajili ya sauti hii moja, nilipolia nikisimama katikati yao, na kusema, Kwa ajili ya ufufuo wa wafu ninahukumiwa mbele yenu hivi leo.

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:21 katika mazingira