Mdo 24:24 SUV

24 Baada ya siku kadha wa kadha, Feliki akafika pamoja na Drusila mkewe aliyekuwa Myahudi, akatuma kumwita Paulo akamsikiliza habari za imani iliyo kwa Kristo Yesu.

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:24 katika mazingira