Mdo 24:27 SUV

27 Na miaka miwili ilipotimia, Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paulo amefungwa.

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:27 katika mazingira