Mdo 25:10 SUV

10 Paulo akasema, Mimi ninasimama hapa mbele ya kiti cha hukumu cha Kaisari, ndipo panipasapo kuhukumiwa; sikuwakosa Wayahudi neno, kama wewe ujuavyo sana.

Kusoma sura kamili Mdo 25

Mtazamo Mdo 25:10 katika mazingira