Mdo 25:16 SUV

16 Nikawajibu kwamba si desturi ya Warumi kumtoa mtu awaye yote, kabla mtu yule aliyeshitakiwa hajaonana na washitaki wake uso kwa uso, na kupewa nafasi ya kujitetea katika mashitaka yake.

Kusoma sura kamili Mdo 25

Mtazamo Mdo 25:16 katika mazingira