Mdo 25:23 SUV

23 Hata asubuhi Agripa akaja pamoja na Bernike kwa fahari nyingi, wakaingia mahali pa kusikia maneno, pamoja na maakida wakuu na watu wakuu wa mji; Festo akatoa amri, Paulo akaletwa.

Kusoma sura kamili Mdo 25

Mtazamo Mdo 25:23 katika mazingira