Mdo 26:10 SUV

10 nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.

Kusoma sura kamili Mdo 26

Mtazamo Mdo 26:10 katika mazingira