Mdo 26:22 SUV

22 Basi kwa kuwa nimeupata msaada utokao kwa Mungu nimesimama hata leo hivi nikiwashuhudia wadogo kwa wakubwa, wala sisemi neno ila yale ambayo manabii na Musa waliyasema, kwamba yatakuwa;

Kusoma sura kamili Mdo 26

Mtazamo Mdo 26:22 katika mazingira