Mdo 26:26 SUV

26 Kwa maana mfalme anajua habari za mambo haya, nami naweza kusema naye kwa ujasiri, kwa sababu najua sana ya kuwa hapana neno moja katika hayo asilolijua; kwa maana jambo hilo halikutendeka pembeni.

Kusoma sura kamili Mdo 26

Mtazamo Mdo 26:26 katika mazingira