Mdo 28:15 SUV

15 Na kutoka huko ndugu, waliposikia habari zetu, wakaja kutulaki mpaka Soko la Apio na Mikahawa Mitatu. Paulo alipowaona alimshukuru Mungu, akachangamka.

Kusoma sura kamili Mdo 28

Mtazamo Mdo 28:15 katika mazingira