Mdo 28:2 SUV

2 Wenyeji wakatufanyia fadhili zisizokuwa za kawaida. Kwa maana waliwasha moto, wakatukaribisha sote, kwa sababu ya mvua iliyonyesha na kwa sababu ya baridi.

Kusoma sura kamili Mdo 28

Mtazamo Mdo 28:2 katika mazingira