27 Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa,Na masikio yao ni mazito ya kusikia,Na macho yao wameyafumba;Wasije wakaona kwa macho yao,Na kusikia kwa masikio yao,Na kufahamu kwa mioyo yao,Na kubadili nia zao, nikawaponya.
Kusoma sura kamili Mdo 28
Mtazamo Mdo 28:27 katika mazingira