Mdo 28:6 SUV

6 Wao wakadhani ya kuwa atavimba au kuanguka chini kwa kufa ghafula; na wakiisha kumwangalia sana, na kuona kwamba halimpati dhara lo lote, wakageuka, wakasema kwamba yeye ni mungu.

Kusoma sura kamili Mdo 28

Mtazamo Mdo 28:6 katika mazingira