Mdo 28:8 SUV

8 Ikawa babaake Publio alikuwa hawezi homa na kuhara damu. Paulo akaingia kwake, akaomba, akaweka mikono yake juu yake, na kumpoza.

Kusoma sura kamili Mdo 28

Mtazamo Mdo 28:8 katika mazingira