Mdo 3:2 SUV

2 Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.

Kusoma sura kamili Mdo 3

Mtazamo Mdo 3:2 katika mazingira