Mdo 3:22 SUV

22 Kwa maana Musa kweli alisema ya kwamba, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye katika mambo yote atakayonena nanyi.

Kusoma sura kamili Mdo 3

Mtazamo Mdo 3:22 katika mazingira