Mdo 3:25 SUV

25 Ninyi mmekuwa watoto wa manabii na wa maagano yale, ambayo Mungu aliagana na baba zenu, akimwambia Ibrahimu, Katika uzao wako kabila zote za ulimwengu zitabarikiwa.

Kusoma sura kamili Mdo 3

Mtazamo Mdo 3:25 katika mazingira