Mdo 4:13 SUV

13 Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na elimu, wasio na maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.

Kusoma sura kamili Mdo 4

Mtazamo Mdo 4:13 katika mazingira