Mdo 4:16 SUV

16 wakisema, Tuwafanyie nini watu hawa? Maana ni dhahiri kwa watu wote wakaao Yerusalemu ya kwamba ishara mashuhuri imefanywa nao, wala hatuwezi kuikana.

Kusoma sura kamili Mdo 4

Mtazamo Mdo 4:16 katika mazingira