Mdo 6:5 SUV

5 Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia;

Kusoma sura kamili Mdo 6

Mtazamo Mdo 6:5 katika mazingira