Mdo 8:26 SUV

26 Malaika wa Bwana akasema na Filipo, akamwambia, Ondoka ukaende upande wa kusini hata njia ile itelemkayo kutoka Yerusalemu kwenda Gaza; nayo ni jangwa.

Kusoma sura kamili Mdo 8

Mtazamo Mdo 8:26 katika mazingira