32 Na fungu la Maandiko alilokuwa akilisoma ni hili,Aliongozwa kwenda machinjoni kama kondoo,Na kama vile mwana-kondoo alivyo kimya mbele yake amkataye manyoya,Vivyo hivyo yeye naye hafunui kinywa chake.
Kusoma sura kamili Mdo 8
Mtazamo Mdo 8:32 katika mazingira