Mdo 8:39 SUV

39 Kisha, walipopanda kutoka majini, Roho wa Bwana akamnyakua Filipo, yule towashi asimwone tena; basi alikwenda zake akifurahi.

Kusoma sura kamili Mdo 8

Mtazamo Mdo 8:39 katika mazingira