Mdo 9:11 SUV

11 Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;

Kusoma sura kamili Mdo 9

Mtazamo Mdo 9:11 katika mazingira