15 Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Kusoma sura kamili Mdo 9
Mtazamo Mdo 9:15 katika mazingira