Mdo 9:26 SUV

26 Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.

Kusoma sura kamili Mdo 9

Mtazamo Mdo 9:26 katika mazingira