Mdo 9:31 SUV

31 Basi kanisa likapata raha katika Uyahudi wote na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Mdo 9

Mtazamo Mdo 9:31 katika mazingira