Mdo 9:36 SUV

36 Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.

Kusoma sura kamili Mdo 9

Mtazamo Mdo 9:36 katika mazingira