41 Akampa mkono, akamwinua; hata akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, hali yu hai.
Kusoma sura kamili Mdo 9
Mtazamo Mdo 9:41 katika mazingira