Rum. 11:22 SUV

22 Tazama, basi, wema na ukali wa Mungu; kwa wale walioanguka, ukali, bali kwako wewe wema wa Mungu, ukikaa katika wema huo; kama sivyo, wewe nawe utakatiliwa mbali.

Kusoma sura kamili Rum. 11

Mtazamo Rum. 11:22 katika mazingira