Rum. 12:3 SUV

3 Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha imani.

Kusoma sura kamili Rum. 12

Mtazamo Rum. 12:3 katika mazingira