Rum. 13:3 SUV

3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;

Kusoma sura kamili Rum. 13

Mtazamo Rum. 13:3 katika mazingira