Rum. 13:9 SUV

9 Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Kusoma sura kamili Rum. 13

Mtazamo Rum. 13:9 katika mazingira