15 Na ndugu yako akiingia huzuni kwa sababu ya chakula, umeacha kwenda katika upendo. Kwa chakula chako usimharibu mtu yule ambaye Kristo alikufa kwa ajili yake.
Kusoma sura kamili Rum. 14
Mtazamo Rum. 14:15 katika mazingira