Rum. 14:8 SUV

8 Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.

Kusoma sura kamili Rum. 14

Mtazamo Rum. 14:8 katika mazingira