Rum. 4:11 SUV

11 Naye aliipokea dalili hii ya kutahiriwa, muhuri ya ile haki ya imani aliyokuwa nayo kabla hajatahiriwa; apate kuwa baba yao wote waaminio, ijapokuwa hawakutahiriwa, ili na wao pia wahesabiwe haki;

Kusoma sura kamili Rum. 4

Mtazamo Rum. 4:11 katika mazingira