Rum. 8:30 SUV

30 Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.

Kusoma sura kamili Rum. 8

Mtazamo Rum. 8:30 katika mazingira