Rum. 9:17 SUV

17 Kwa maana maandiko yasema juu ya Farao, ya kwamba, Nilikusimamisha kwa kusudi hili, ili nionyeshe nguvu zangu kwako, jina langu likatangazwe katika nchi yote.

Kusoma sura kamili Rum. 9

Mtazamo Rum. 9:17 katika mazingira