Tit. 2:14 SUV

14 ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

Kusoma sura kamili Tit. 2

Mtazamo Tit. 2:14 katika mazingira