Tit. 2:3 SUV

3 Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema;

Kusoma sura kamili Tit. 2

Mtazamo Tit. 2:3 katika mazingira