Tit. 3:3 SUV

3 Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, tulikuwa waasi, tumedanganywa, huku tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukiishi katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.

Kusoma sura kamili Tit. 3

Mtazamo Tit. 3:3 katika mazingira