Tit. 3:8 SUV

8 Ni neno la kuaminiwa; na mambo hayo nataka uyanene kwa nguvu, ili wale waliomwamini Mungu wakumbuke kudumu katika matendo mema. Hayo ni mazuri, tena yana faida kwa wanadamu.

Kusoma sura kamili Tit. 3

Mtazamo Tit. 3:8 katika mazingira