Ufu. 1:4 SUV

4 Yohana, kwa yale makanisa saba yaliyoko Asia; Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwake yeye aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja; na zitokazo kwa roho saba walioko mbele ya kiti chake cha enzi;

Kusoma sura kamili Ufu. 1

Mtazamo Ufu. 1:4 katika mazingira